Swahili A1 paper 1 SL 2011 May.pdf-pages...
Swahili_A1_paper_1_SL_2011_May.pdf-pages/páginas M11/1/A1SWA/SP1/SWA/TZ0/XX SWAHILI A1 – STANDARD
Showing 1-2 out of 5
Swahili A1 paper 1 SL 2011 May.pdf-pages/páginas M...
Swahili_A1_paper_1_SL_2011_May.pdf-pages/páginas M11/1/A1SWA/SP1/SWA/TZ0/XX SWAHILI A1 – STANDARD
Swahili A1 paper 1 SL 2011 May.pdf-...
Swahili_A1_paper_1_SL_2011_May.pdf-pages/páginas M11/1/A1SWA/SP1/SWA/TZ0/XX SWAHILI A1 – STANDARD
Page 1
2211-0299
5 pages/páginas
M11/1/A1SWA/SP1/SWA/TZ0/XX
SWAHILI A1 – STANDARD LEVEL – PAPER 1
SWAHILI A1 – NIVEAU MOYEN – ÉPREUVE 1
SWAHILI A1 – NIVEL MEDIO – PRUEBA 1
INSTRUCTIONS TO CANDIDATES
Do not open this examination paper until instructed to do so.
Write a commentary on one passage only.
It is not compulsory for you to respond directly to
the guiding questions provided.
However, you may use them if you wish.
INSTRUCTIONS DESTINÉES AUX CANDIDATS
N’ouvrez pas cette épreuve avant d’y être autorisé(e).
Rédigez un commentaire sur un seul des passages.
Le commentaire ne doit pas nécessairement
répondre aux questions d’orientation fournies.
Vous pouvez toutefois les utiliser si vous le
désirez.
INSTRUCCIONES PARA LOS ALUMNOS
No abra esta prueba hasta que se lo autoricen.
Escriba un comentario sobre un solo fragmento.
No es obligatorio responder directamente a
las preguntas que se ofrecen a modo de guía.
Sin embargo, puede usarlas si lo desea.
1 hour 30 minutes / 1 heure 30 minutes / 1 hora 30 minutos
Wednesday 11 May 2011 (morning)
Mercredi 11 mai 2011 (matin)
Miércoles 11 de mayo de 2011 (mañana)
© International Baccalaureate Organization 2011
22110299


Page 2
– 2 –
2211-0299
M11/1/A1SWA/SP1/SWA/TZ0/XX
Toa maoni yako juu ya
moja
ya tungo zifwatazo.
1.
5
10
15
20
25
30
35
40
“Hebu huko!”
Yule sista alifoka akimtumbulia utingo wa ile daladala jicho kali,” eh, ndio
nini utunukie sawa na buti la mgambo?
Kauli ya sista iliimbua vicheko vya wanafunzi waliokaa kiti cha nyuma cha daladala hiyo.
Walianza kunong’onezana.
“Kweli anuka kama mkojo!
Kwani maji yauma?”
“Aisee, kwani kukoga tu kunahitaji pasi?”
“Jamani, hawa jamaa itabidi waogeshwe kwa nguvu kama wanavyofanywa huku Nairobi!”
Kwa ujumla, mle daladalani mlinuka vundo la ajabu: Mchanganyiko wa jasho la mwili,
kwapa, mafusho na marashi ya kila sampuli.
Harufu ya kupandisha roho kooni ilihanikiza kote.
Abiria walilalamikia hali hiyo.
“Fungueni madirisha basi jamani!”
Mama mmoja aliyempakata mtoto mchanga alisihi,
“naona mwanangu yuatweta kwa joto hili!”
Kila abiria aliyekaa kiti cha dirishani, akawa anang’ang’ania kufungua vioo vya madirisha.
Machache yalikubali; mengi yakadinda.
“Nd’o nini hii?
Utunukie, na gari lako mbovu – madirisha hayafunguki!
Kwani daladala
hii ni ya wafungwa?”
Sista akazidi kumpakia yule utingo aliyejining’inia mlangoni, tako nje.
Vicheko zaidi.
“Sista, naomba tuheshimiane!”
Utingo akajitia kumaka japo ilikuwa wazi, hakujali wala
kubali.
“Nyoo, mtusheheneze sawa na mifuko ya vitunguu!”
Sista alisema akijitengeneza mtandio
wake kichwani.
“Sista hivi kweli, kama lilikuwa gari la mbinguni, ungelitaahari kuliabiri!”
Utingo sasa,
akaanza vituko vyake-wakitajika sana kwa vita vya maneno.”
“Hivi unadhani mbinguni mtakwenda nyie?
Watu hata staha kwa watumishi wa Mungu, kina
mama na watoto, hamna?”
Maneno ya sista yakashika njia nyingine.
Kitu kama mahubiri vile.
Lakini ifae nini?
“Kwani sisi hapa twafanya kazi ipi?
Si tuwapeleke watu wa Mungu makwao wakajipumzishe
machovu ya kutwa?”
Falsafa ya utingo nayo, ikadhihiri.
“Kazi sista, ni kazi.
Baadhi yetu tunafanya kazi za sulubu zaidi ya kuzembea ati mtu aabudu.
Ibada tu bila kazi zitupeleke wapi?”
Mwanamume mmoja aliyevalia surupwenye yenye mavumbi
ya saruji alijitia katika mjadala.
“Kweli kabisa.
Kazi ni sawa na ibada!”
Zilisikika kwa abiria wengi.
“Lakini mtu akae kutwa nzima akisoma rosari, jioni aaingie garini awalaumu waliotokwa
na jasho la kutafutia huo ugali na dagaa!”
Sasa utingo akapata moyo; sista alihitaji afundishwe
kuishi kwa uhalisi.
“Kazi si uchafu utingo!
Mtu ni usafi-hata huku huwaoni wakioga kwa udongo?”
Sista
akajitetea kwa kuelekeza lawamana shutuma kwa wengine.
“Sanawari!
Sanawari wapo?”
Utingo alisema, gari lilipofika barabara ya kuteremshia
Arusha
International Conference Centre
sauti kadhaa ziliitika.
Dereva alisimamisha gari.
“Naomba unisaidiye huyu mtoto nishuke,” mama aliyeketi na yule sista alisikika akisema.
Akamkabidhi sista kibegi kidogo; sista akakiangika begani, kisha akampokea yule mwana.
Utingo alikuwa akiwatolea abiria mizigo unyende uliposikika.
“Simu yangu imeibwa!”
Yule mama aliyesaidiwa na sista alihanikiza.


Ace your assessments! Get Better Grades
Browse thousands of Study Materials & Solutions from your Favorite Schools
International Baccalaurea...
International_Baccalaureate
School:
Swahili_A1_SL
Course:
Great resource for chem class. Had all the past labs and assignments
Leland P.
Santa Clara University
Introducing Study Plan
Using AI Tools to Help you understand and remember your course concepts better and faster than any other resource.
Find the best videos to learn every concept in that course from Youtube and Tiktok without searching.
Save All Relavent Videos & Materials and access anytime and anywhere
Prepare Smart and Guarantee better grades

Students also viewed documents