Swahili ab initio paper 1 text booklet S...
Swahili_ab_initio_paper_1_text_booklet_SL_2010_May.pdf-pages/páginas M10/2/ANSWA/SP1/SWA/TZ0/XX/T Friday 21 May 2010
Showing 1-2 out of 5
Swahili ab initio paper 1 text booklet SL 2010 May...
Swahili_ab_initio_paper_1_text_booklet_SL_2010_May.pdf-pages/páginas M10/2/ANSWA/SP1/SWA/TZ0/XX/T Friday 21 May 2010
Swahili ab initio paper 1 text book...
Swahili_ab_initio_paper_1_text_booklet_SL_2010_May.pdf-pages/páginas M10/2/ANSWA/SP1/SWA/TZ0/XX/T Friday 21 May 2010
Page 1
2210-2841
5 pages/páginas
M10/2/ANSWA/SP1/SWA/TZ0/XX/T
Friday 21 May 2010 (afternoon)
Vendredi 21 mai 2010 (après-midi)
Viernes 21 de mayo de 2010 (tarde)
SWAHILI
AB INITIO
– STANDARD LEVEL – PAPER 1
SOUAHÉLI
AB INITIO
– NIVEAU MOYEN – ÉPREUVE 1
SUAHILI
AB INITIO
– NIVEL MEDIO – PRUEBA 1
TEXT BOOKLET – INSTRUCTIONS TO CANDIDATES
Do not open this booklet until instructed to do so.
This booklet contains all of the texts required for Paper 1.
Answer the questions in the Question and Answer Booklet provided.
LIVRET DE TEXTES – INSTRUCTIONS DESTINÉES AUX CANDIDATS
N’ouvrez pas ce livret avant d’y être autorisé(e).
Ce livret contient tous les textes nécessaires à l’Épreuve 1.
Répondez à toutes les questions dans le livret de questions et réponses fourni.
CUADERNO DE TEXTOS – INSTRUCCIONES PARA LOS ALUMNOS
No abra este cuaderno hasta que se lo autoricen.
Este cuaderno contiene todos los textos para la Prueba 1.
Conteste todas las preguntas en el cuaderno de preguntas y respuestas.
1 h 30 m
© International Baccalaureate Organization 2010
22102841


Page 2
2210-2841
–2–
M10/2/ANSWA/SP1/SWA/TZ0/XX/T
KIFUNGU A
UNGEPENDA KUONA NINI? KARIBU SANA!
Yafuatayo ni matangazo ya matukio (
events
) mbalimbali ya sanaa na utamaduni jijini Dar es Salaam.
Tingatinga: Twende Pamoja
Picha mbalimbali za Tingatinga
Maonyesho
Tarehe
: 20-30 Juni
Mahali
: Galari ya Mawazo
Hakuna kiingilio
SUKARI YA KAHAWIA
Maonyesho ya vinyago na picha za
wasanii wa Tanzania na wa Spain.
Hotuba ya kufungua: Balozi wa
Spain nchini Tanzania
Mahali
: Galari ya Mawazo
Hakuna kiingilio
Tarehe
: 30 Juni hadi 7 Julai
WASANII WATATU
Maonyesho ya wasanii watatu
wa Tanzania: David Mzugano,
Joseph Chigege na Saidi Mbaraki
Mahali
: Kituo cha Sanaa cha Wasanii.
Kiingilio
: Bure
TAREHE
: 7 hadi 17 Julai
MWISHO/
LIMITATIONS
Dansi ya kisasa itachezwa na “Mionzi Dance Theatre” kutoka Tanzania, na “CE Dance” kutoka
Sweden.
Camilla Ekelof ataonyesha ufundi wa kucheza kwa kutumia sauti za viatu alivyovaa.
Kwa vile haya bado ni mazoezi kila mtu anakaribishwa.
Kiingilio
ni bure.
Mahali
: Ukumbi wa Nkrumah, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam;
Tarehe
:
18
na 19 Julai
FILAMU 4 ZA KITANZANIA
Oprah, Machozi katika Familia, Regina na Hakuna
Kurudi Nyuma!
Njoo uwaone waigizaji maarufu wa
filamu Tanzania: Akina Kanumba, Ray, Irene Uwoya,
Wema Sepetu na wengi wengine
Saa 9.00–11.30 jioni, Saa 12.00–1.30 usiku,
Saa 2.00–3.30 usiku, Saa 4.00–5.30 usiku.
Tarehe
: 18–30 Julai.
Kiingilio
: Shilingi 3000
Mahali
: Ukumbi wa Senema wa Century, Mlimani City.
Kutoka
Dar Life
(Februari 2009)


Ace your assessments! Get Better Grades
Browse thousands of Study Materials & Solutions from your Favorite Schools
International Baccalaurea...
International_Baccalaureate
School:
Swahili_ab_initio_SL
Course:
Great resource for chem class. Had all the past labs and assignments
Leland P.
Santa Clara University
Introducing Study Plan
Using AI Tools to Help you understand and remember your course concepts better and faster than any other resource.
Find the best videos to learn every concept in that course from Youtube and Tiktok without searching.
Save All Relavent Videos & Materials and access anytime and anywhere
Prepare Smart and Guarantee better grades

Students also viewed documents